JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Nchemba aita wawekezaji kuwekeza nchini

Na Benny Mwaipaja,Washington DC Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa pamoja na wazawa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania katika sekta mbalimbali. Dkt. Nchemba ametoa wito huo mjini Washington D.C, Marekani,…

‘Nawabadilisha mawaziri lakini Biteko yupo’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ameeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko katika kuisimamia Sekta ya Madini. Rais Samia amempongeza Dkt. Biteko leo Oktoba 16, 2022 wakati akiwasalimu wananchi wa Runzewe…

Bodi mpya ya SBT yawaahidi Watanzania neema ya sukari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Moshi Bodi mpya ya wakurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) imeliahidi taifa neema ya sukari ndani ya miaka mitatu ijayo huku mwenyekiti wake,Filbert Mponzi, akisema tatizo la upungufu wa bidhaa hiyo sasa linaenda kuwa historia. Mkurugenzi Mkuu…

Mwenge wafanikisha marejesho ya bil.2.2/- Kagera

Mbio za Mwenge wa uhuru mwaka 2022 zilizofikia kilele Oktoba 14,2022 mkoani Kagera,zimefanikiwa kurejesha fedha za mikopo kwa vijana kupitia mfuko wa Maendeleo ya vijana kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 2.2. Moja ya ajenda ya Mbio za Mwenge wa…

Serikali kurejesha ari ya usomaji vitabu nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga tamasha la 31 la vitabu lililomalizika jana katika…