JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Gondwe aipongeza WESE kuunga mkono jitihada za Serikali

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya WESE kwa kuanzisha jukwaa litakalosaidia madereva kupata huduma ya mafuta kwenye vituo vya mafuta nakulipa fedha baadae. Akizungumza leo Oktoba 26,2022 Dar es Salaam kwa…

Majaliwa kukutana na wamiliki wa makampuni makubwa Korea Kusini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumatatu, Oktoba 24, 2022) amewasili Seoul, Jamhuri ya Korea Kusini kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Togolani Mavura pamoja na baadhi ya watanzania wanaoishi katika nchi…

Mpango: Serikali inatambua umuhimu wa sekta binafsi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, amesema Serikali inatambua umuhimu wa sekta binafsi kama kichocheo cha kuimarisha sekta ya utalii hapa nchini hivyo imekuwa ikichukua hatua mbalimbali za kuleta mageuzi hususani katika sheria na…

Serikali: Dar es Salaam ndio lango kuu la biashara nchini

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) amesema uwepo Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (S!TE) katika Jiji la Dar es Salaam ni fursa kubwa kwa jijini hilo kutangaza vivutio vyake. Amesema kuwa Jiji la Dar es Salaam…

Rais Samia asikiliza kilio cha wanasiasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema sheria ambazo zinahitaji marekebisho madogo zitafanyiwa kazi haraka huku nyingine zitachukua muda kidogo kulingana na muda wa mchakato wa utekelezaji. Rais Samia amesema hayo leo Oktoba 21,2022 Ikuku…