JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

CCM, CUF wavutana Zanzibar

Vyama vya CCM na CUF vimeibua mjadala mpya wa kisiasa baada ya Mwakilishi wa Jimbo la Ole (CUF), Hamad Masoud Hamad, kujiandaa kuwasilisha hoja binafsi yenye lengo la kuhoji Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)  kushindwa kumaliza tatizo la upatikanaji…

Wateja wa ulimwengu mpya wa biashara

Katika makala mbili zilizopita nilikuwa nikichambua kuhusaina na ulimwengu mpya wa biashara. Nilieleza kwa kina namna uchumi ulivyohama kutoka viwanda kwenda taarifa na huduma, na hivyo kuathiri namna biashara zinavyofanyika. Katika makala zile mbili nilieleza kwa sehemu kubwa kuhusu taarifa…

Barua ndefu kwa Zitto Zuberi Kabwe

Ustaarabu wetu adhimu wa Kiafrika turiourithi kutoka kwa wahenga unatutaka vijana kuwa na heshima na kufanya maamkizi kwa wakubwa – 'shikamoo komredi Zitto Kabwe'. Nakuandikia barua hii nikifahamu pasi shaka yoyote kuwa kamwe hutaishangaa.   Kama ujuavyo, uandishi wa barua…

Papa Francis anguruma tena

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, kwa mara nyingine ametoa kauli ya kuwaaga viongozi na waamini wake ulimwenguni kwamba kuna kila dalili za yeye kuachia ngazi hivi karibuni.   Katika mahojiano yake na Kituo cha Televisheni cha Mexico,…

Mwasisi wa TANU: Rais ni Dk. Slaa

Mwasisi wa Chama cha Tanganyika African National Union (TANU), Lameck Bogohe (93), amesema mtu pekee anayestahili kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod…

Maaskofu wamtega Kikwete

Tamko lililotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba Mpya, Mahakama ya Kadhi na Hali ya Usalama nchini, limeitikisa Serikali. Taarifa kutoka serikalini zinasema kwamba tamko lililotolewa na maaskofu hao linavunja moyo wa harakati za Rais Jakaya Kikwete anayetaka Tume…