Category: Kitaifa
Je, Kinana atamweza Lazaro Nyalandu?
Mwandishi mmoja mkongwe aliwahi kuandika kuwa ukimwona mbuzi juu ya mti jua kapandishwa. Lakini pia ukimwona mbwa koko anabweka jua yuko nyumbani kwao. Si mara moja kusikia na kusoma vituko vya Waziri Lazaro Nyalandu. Madudu yake yamewekwa hadharani…
Lowassa: Ninayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
Hakuna ubishi kwamba minong’ono juu ya matamanio ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, au kutajwa kuwania urais, imeshika kasi. Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli (CCM), amekuwa akitajwa kuwa miongoni mwa wanasiasa wenye nguvu kubwa na matamanio ya kuiongoza…
Walarushwa hawa hapa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imetangaza hadharani washitakiwa wote waliopatikana na hatia katika kesi zinazohusu rushwa. Taarifa ya ambayo gazeti hili imeipata inasema kutajwa kwa washitakiwa hao ni utaratibu mpya unaoanza kutumika mwezi huu, ikiwa ni…
Sitta: Nafaa urais
*Asema CCM ikifanya makosa, nchi itayumba Na Angela Kiwia, Dodoma Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee wa Kasi na Viwango, na Waziri wa sasa wa Uchukuzi, Samuel Sitta, ameta ja sifa nne za…
Nyalandu amkabidhi bahasha Sheikh Salum
*Atumia mamilioni kugharimia viongozi 54 wa kidini *Awalaza hoteli ghali, awalipa Sh 660,000 kwa siku *Mpango mzima umelenga mbio za urais mwaka huu Na Mwandishi Wetu Siku kadhaa baada ya Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi…
Udini wapasua Bunge
*Tangazo la wabunge Waislamu kukutana lavuruga *Wakristo waandaa muswada wa Amri 10 za Mungu NA MWANDISHI WETU Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekumbwa na mgawanyiko wa chini kwa chini wa udini. Hali hiyo ilitojitokeza Alhamisi iliyopita ambako…