JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wizara kuwapatia maji Sengerema

Mhandisi wa Maji, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Wawa Nyonyoli, ametangaza kuwa zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa mji huo watapata maji safi na salama ifikapo Juni, mwaka huu.  Akizungumza na mwandishi wa JAMHURI mjini hapa, Mhandisi Nyonyoli anasema…

Spika amtaja rais ajaye

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, amesema kuwa nchi kwa sasa inahitaji rais jasiri atakayeweza kuwa tayari kusimama kwa ajili ya nchi yake na watu wake. Ndugai aliyasema hayo katika mahojiano maalum na Gazeti…

Siri ya Ugaidi

Kitendo cha nchi za Afrika Mashariki na Kati kuandaa mafunzo ya kudhibiti ugaidi, kinaelezwa kuwatia hasira kundi la al-Shaabab hadi kuvamia na kuua watu zaidi ya 150 nchini Kenya.   Jumla ya askari 300 kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Tanzania,…

Tanroads yafanya kweli

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umenunua mtambo wa kisasa wa kukagua madaraja marefu yenye maji na kurahisisha shughuli hiyo, tofauti na njia iliyokuwa ikitumika awali ya kutumia kamba iliyohatarisha maisha wataalamu. Mtambo huo wa kisasa (Bridge Inspection Vehicle) ambao umeanza…

Muuguzi Geita adaiwa kudai rushwa

Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Geita (DNO), Ifigenia Chagula, analalamikiwa na baadhi ya wamiliki wa vyuo binafsi vya uuguzi na ukunga kwa kuomba rushwa kwa kushinikiza.   Hata hivyo, wamiliki hao hawajatekeleza maagizo ya Chagula ambaye sasa inadaiwa…

Rais Buhari kuinusuru Nigeria

Hakuna ubishi kwamba Marekani ni taifa kubwa kwa kujiimarisha kiuchumi na kiusalama. Kadhalika, hakuna ubishi kwamba rais wa Marekani ndiye anayetafsiriwa kuwa ni kiongozi wa dunia. Hii inatokana na vyombo vikubwa vya uamuzi kama vile Umoja wa Mataifa (UN) vinaisikiliza…