JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Ripoti yabaini madudu zaidi TRL

Ripoti ya awali kuhusu uchunguzi wa mchakato wa ununuzi wa mabehewa mabovu uliofanywa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imebaini kuwa menejimenti ya kampuni hiyo haikuwa makini kushughulikia maombi ya kuongezewa muda, yaliyowasilishwa na Kampuni ya Hindusthan Engineering and Industries Limited…

Magaidi: Mufti atoa agizo kali

Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Bin Shaaban Simba, amevitaka vyombo vya dola kufuatilia kwa makini baadhi ya misikiti inayodaiwa kutumiwa na baadhi ya waumini wake kufanya mazoezi nyakati za usiku.  Akizungumza na JAMHURI katika mahojiano maalum yaliyofanyika hivi karibuni,…

Kipande ang’olewa rasmi Bandari

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, Madeni Kipande, ameng’olewa rasmi katika wadhifa huo baada ya uchunguzi wa Serikali kubaini kuwa hana sifa za kuongoza Bandari.   Kwa mujibu wa Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, Kipande amekuwa…

ACT kimbunga

Kumekuwapo mikutano ya siri inayowahusisha viongozi waandamizi wa Chama cha ACT-Wazalendo na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao hawana hakika kama watatendewa haki wakati wa kupitishwa kwa majina ya wagombea urais. Mazungumzo hayo yamelenga kufungua njia kwa…

Ugaidi Tanzania

Serikali imetakiwa iwe makini kuhakikisha inavitumia vyombo vyake vya ulinzi na usalama na wananchi kukabiliana na tishio la makundi ya kigaidi, hasa al-Shaabab kutoka Somalia. Mbunge wa Kigoma Kusini – NCCR-Mageuzi, David Kafulila ameliambia JAMHURI kwamba Tanzania inapaswa kuwa makini….

‘Serikali imekurupuka, imeumbuka’

Serikali imeingia doa. Migomo wafanyabiashara na madereva wanaoendesha mabasi ya abiria, imetikisa nchi kiasi cha kufanya wadau kadhaa kueleza kuwa nchi imekosa sifa za uongozi. Tukio la kwanza, ambalo limekuwa likijirudia linahusu wafanyabiashara ambao mara kwa mara wamekuwa wakigoma kwa…