Category: Kitaifa
Tunahitaji Rais dikteta-Msuya
Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya amesema kwamba Tanzania kwa sasa inahitaji Rais mwenye uamuzi mgumu, mwenye kariba ya udikteta. Waziri Mkuu huyo mwenye rekodi ya aina yake ya kutumikia wadhifa huo kwa marais wawili wa awamu ya kwanza na…
Abood, Makalla, Shabiby ni wabunge hatari Moro
Wakati mauaji na uhasama kati ya wakulima na wafugaji yakishika kasi katika wilaya za Kilosa na Mvomero, Morogoro, wananchi wamewalalamikia wabunge wa mkoa huo kuwa wanahusika mgogoro huo, JAMHURI limeweza kuripoti. Taarifa ambazo gazeti hili imezipata zinasema kwamba wananchi hao…
Nguvu ya mawazo katika mafanikio kiuchumi
Kila kitu kinachoonekana duniani kilianza na mawazo. Mawazo ndiyo kiwanda kikubwa cha uumbaji wote unaoonekana duniani. Hata katika vitabu vya dini tunaelezwa kuwa Mungu aliamua (Mawazo) kuumba mbingu na nchi. Ninaposoma Biblia kuhusu habari hizi za uumbaji wa Mungu, kuna…
Dakika 480 za Obama Kenya
Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, kusafisha njia Kenya kwa ziara ya siku tatu aliyoifanya mwanzoni mwa mwezi huu, imethibitika kuwa Rais Obama atatua Nairobi kwa ulinzi mkali na kufanya ziara ya saa 8 tu….
JWTZ wacharuka
Baada ya kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) kuua askari mahiri wawili wa Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) sasa limetangaza mkakati mzito wa kusambaratisha kundi hilo. Habari za uhakika kutoka ndani ya JWTZ zinasema…
Msigwa amgeuka Nyalandu
Wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ikitarajiwa kumwita kwa mara ya tatu Waziri wa Maliasili na Utalii kujadili mipango ya bajeti yake, ‘swahiba’ wake, Mchungaji Peter Msigwa, amemgeuka. Mchungaji Msigwa, Waziri wa Kivuli wa wizara hiyo, ameshtushwa na hasara…