Category: Kitaifa
TFDA yafunga viwanda India
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeelezwa kuwa ni taasisi bora barani Afrika inayoheshimika na kuaminika na Shirika la Afya Duniani (WHO), kutokana na utendaji wake uliokidhi viwango vya ubora. Hayo yameelezwa wiki iliyopita na Waziri wa Afya na…
Ulaji wa kutisha bungeni
Mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Bunge, ya kumlipa kila mbunge mafao ya Sh milioni 238 baada ya Bunge kuvunjwa mwezi ujao, yanazidi kuichanganya Serikali. Duru za uchunguzi zinaonyesha kuwa tayari Serikali inakabiliwa na ukata mkubwa, kiasi cha kusuasua kuwalipa…
AGPAHI yamwaga misaada Shinyanga
Shirika la AGPAHI, linalojihusisha na mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI, limezindua majengo mawili kwa ajili ya Huduma za Tiba na Matunzo kwa watu wanaoishi na vimelea hivyo. Shirika hilo linalofadhiliwa na watu wa Marekani…
GST yaongeza thamani madini ya nikeli
Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) kupitia maabara yake ya utafiti wa madini, imefanikiwa kuongeza thamani ya madini ya nikeli (Ni) kutoka katika mbale za Milima ya Mahanza-Haneti mkoani Dodoma. Akizungumza na MEM Bulletin, Mhandisi Priscus Kaspana, mmoja wa wanajopo…
CCM watosana hadharani Igunga
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wamewakataa viongozi watatu wa chama hicho mbele ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora, Hassan Mwakasubi, JAMHURI inaweza kuripoti. Viongozi waliokataliwa na wanachama hao ni Katibu wa CCM wa…
Hii ni vurugu ndani ya CCM – Msuya
Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania, Cleopa David Msuya, anaamini kwamba Uchaguzi Mkuu wa tano baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini, utafanyika Oktoba kama ulivyopangwa. Bosi huyo wa nchi aliyeshika wadhifa huo uliokwenda sambamba na umakamu wa…