Category: Kitaifa
Pigo jipya CCM
Hatari ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kupoteza wanachama wazito katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu inazidi kukinyemelea chama hicho, uchunguzi wa gazeti la JAMHURI umebaini. Habari kutoka ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), zinaonyesha kuna wimbi kubwa…
Ulinzi wa Edward Lowassa usipime
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeibuka na hofu mpya juu ya kudhuriwa kwa mgombea urais wa chama hicho kwa kofia ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kutokana na hali hiyo, umoja huo sasa umeimarisha ulinzi kwa kiongozi huyo…
CCM Upanga kupoteza udiwani
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Upanga Magharibi kiko hatarini kupoteza kiti cha udiwani baada ya kada aliyeteuliwa kuwania nafasi hiyo kudaiwa kuingia kwa figisufigisu mbali ya kuwa na tuhuma za kufungwa jela kwa makosa mbalimbali ya jinai. Na vyama…
Majimbo 130 ya Ukawa haya hapa
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), imetamba kuwa na uhakika wa kuunda Serikali zijazo kwa kupata wabunge zaidi ya 130 kati ya 264 ya Tanzania nzima. Hayo yamethibitishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo…
Vigogo Sumbawanga wakusanya vitabu ‘feki’
Vigogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, wanaodaiwa kutengeneza vitabu bandia vya kukusanyia mapato ya ushuru na leseni za uvuvi wa samaki katika ziwa Rukwa wameanza kuviondoa katika mzunguko. Wiki iliyopita gazeti la JAMHURI liliripoti habari ya uchunguzi…
Cheche za Lowassa moto Karagwe
Wanasiasa kadhaa waliokuwa makada na madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama kadhaa vya upinzani wilayani Karagwe na Kyerwa wamejisalimisha na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumfuata mwanasiasa mahiri nchini, Edward Lowassa. Dhana kubwa ya wanasiasa hao…