Category: Kitaifa
Mbowe: Hawachomoki
Mwezi mmoja wa kampeni, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umetamba kuwa utashinda Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 25, mwaka huu. Ukawa wanaowakilishwa na mgombea urais kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, wanasema Chama Cha Mapinduzi (CCM)…
Bodi ya Kahawa kwafuka Moshi
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), Adolf Kumburu, anachunguzwa na vyombo mbalimbali vya uchunguzi kuhusiana na madai ya matumizi mabaya ya ofisi ya umma. Kiini cha uchunguzi huo ni zabuni ya kuhuisha ya mashine ya mnada (upgrading) ambayo…
Dk. Magufuli hashikiki
Hotuba za mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, zenye mwelekeo wa kuileta Tanzania mpya, zimeonekana kuwakuna wengi. Dk. Magufuli, hotuba zake zimekuwa zikiwagusa wananchi kutokana na kugusa kero zinazowakabili moja kwa moja. Kwa wale wanaotaka mabadiliko,…
Lubuva moto
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, amesema wanaodhani atakipendelea Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye utangazaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu, wanajidanganya. Amesema yeye ni mtu mwenye msimamo usioyumba na hawezi kuzuia uamuzi wa watu kwenye…
Sumaye alipua waliochota IPTL
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ameibua upya sakata la uchotwaji mabilioni ya shilingi kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Singh Seth. Kampuni hiyo ilikuwa mbia wa VIP Engineering ya James Rugemarila ambao kwa pamoja walikuwa…
Magaidi watishia kulipua Polisi
Jeshi la Polisi nchini limenasa waraka unaolenga kuvamia askari wa jeshi hilo au familia zao, hali ambayo imezusha hofu miongoni mwao. Kutokana na tishio hilo, tayari viongozi wa ngazi za juu wa jeshi hilo wameshaanza kujiwekea tahadhari katika maeneo wanayoishi…