Category: Kitaifa
Lubuva, wahariri mambo safi
Wahariri wa vyombo vya habari nchini wameagizwa kufuata maadili ya taaluma sambamba na sheria za uchaguzi, ili kuepuka kupitisha habari kutoka vyanzo visivyo rasmi. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva, amewaambia wahariri kwamba wana dhamana…
Serikali yajipanga kudhibiti zebaki
Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu, amesema kuna haja kwa nchi kuweka mifumo thabiti ya kudhibiti vifaa mbalimbali vyenye madini ya zebaki. Dk. Ningu ameeleza hayo hivi karibuni jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua…
SAMIA: Sitakaa ofisini kusubiri kudanganywa
Mgombea Mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amegundua Watanzania wanahitaji mambo mengi tofauti na ilivyokuwa hapo awali. Katika mahojiano maalum yaliyofanyika wiki iliyopita Dar es Salaam, Samia anaeleza kuhusiana na kile alichokiona ikiwa ni pamoja…
Dk. Magufuli amgeuzia kibao Lowassa
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kupuuza majigambo ya vyama vya ushindani akidai endapo watashinda uchaguzi huu, watawatesa wananchi. Kadhalika, Dk. Magufuli ameshangazwa na mabosi wake wa zamani-mawaziri…
Lowassa: Sitaki mizengwe 2015
Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, ameweka kando majibu ya tafiti zote na badala yake, ameelekeza masikio yake Oktoba 25, mwaka huu. Katika kusisitiza hilo, Lowassa ameonya mizengwe inayoripotiwa kufanywa na Serikali ya Chama Cha…
Lowassa abadili gia
Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) anayewakilisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, sasa ameamua kutumia helikopta tano katika kampeni zake. Uamuzi huo unalenga kuimarisha kampeni zake ikiwa ni takribani mwezi mmoja kabla…