JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Vigogo chali

Wakati mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akiongoza kwa kura nyingi za urais dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, vigogo maarufu wenye majina makubwa, wamebwagwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge. Dk….

Kivumbi

Hayawi, hayawi hatimaye yamekuwa. Wiki hii ndiyo ya mwisho kwa tambo, vijembe na kila aina ya mbwembwe za wagombea na vyama vya siasa vinavyoshindana kushika mamlaka ya kuongoza dola. Wakati hii ikiwa ni lala salama, nafasi kubwa ya ushindani ipo…

Kingunge atoa siri za Nyerere

Wakati Tanzania na dunia nzima inaadhimisha miaka 16 bila ya kuwa mwasisi wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru, ametoa siri za hisia za siasa za Baba wa Taifa. Kingunge, ambaye amehudumu nchini kuanzia chama TANU…

Polisi wapozwa kwa posho nono

Baada ya kilio cha muda mrefu kuhusu kulipwa ujira unaoendana na mazingira magumu ya kazi zao, hatimaye Serikali imetimiza kile kilichokuwa kikipigiwa kelele na wabunge kuhusu kuwalipa askari polisi posho ya kujikimu, JAMHURI imebaini. Askari wa jeshi hilo, mwishoni wa…

Lowassa: Wanajisumbua

Mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa, amesema hana muda wa kuwajibu wale wote wanaomsakama, lakini amejipambanua kuwa anataka kuwatumikia Watanzania kuanzia mwezi huu. Lowassa amesema kwa malengo hayo ya kutaka kuwatumikia Watanzania ambao kwa…

CCM imechoka, adai Kingunge

Mwanasiasa wa siku nyingi, Kingunge Ngombale-Mwiru, amekiacha “utupu” Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kimegeuka misingi yake ya kuanzishwa kwake na kwa sasa kinaendeshwa kinyume cha Katiba na taratibu. Akizungumza na waandishi wa habari juzi nyumbani kwake, Kijitonyama Dar es Salaam,…