Category: Kitaifa
JK alivyoiumiza nchi
Ukiwa ni mwezi mmoja tangu Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, ang’atuke kikatiba, duru za uchunguzi zinaonyesha kuwa kiongozi huyo aliliumiza Taifa kwenye nyanja nyingi. Wakati akiingia madarakani mwaka 2005, deni la Taifa lilikuwa Sh trilioni 5.5; lakini miaka…
Makachero 32 wapanguliwa Moshi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limewaondoa maofisa wake 32 kutoka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (CID) na kuwapeleka katika vitengo vingine. Wamehamishwa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kwenda kinyume cha maadili na mwenendo wa Jeshi hilo. Aliyekuwa…
‘Jangili’ Ojungu wa Arusha akamatwa
Mtuhumiwa huyo mkazi wa Ngaramtoni, Arusha, alikamatwa Desemba 5, mwaka huu katika kile kinachoelezwa kuwa ni mpango wa Serikali ya Awamu ya Nne wa kukomesha vitendo vya ujangili. Pamoja naye, mtuhumiwa mwingine, Godfrey Sekito (God Mabita au God Mapesa),…
Jaji Msuya azua maswali
Watuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya aina ya heroin, wanalalamikia kucheleweshwa kwa shauri dhidi yao wakidai linachukua muda mrefu tangu lilipoanza mwaka 2013. Watuhumiwa hao wanamlalamikia Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya wakihoji; “Sijui Mheshimiwa Jaji ana malengo gani…
Kamishna Minja wa Magereza matatani
Vyombo vya uchunguzi vya Serikali vimeanza kufuatilia ujenzi wa nyumba tano zinazojengwa sehemu moja huko Salasala, Dar es Salaam, mali ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Minja. Minja ametajwa kuendeleza eneo lake kwa kujenga mahekalu ya gharama…
Makontena 1,700 magari 900 yapotea
Makontena 1,762 na magari 919 yametolewa katika Bandari Kavu jijini Dar es Salaam bila kulipiwa ushuru na kodi mbalimbali, JAMHURI limebaini. Pamoja na upotevu huo, Serikali imepata hasara ya Sh milioni 914.136 ambazo hazikulipwa na meli za mafuta kwa miezi…