Category: Kitaifa
Bodaboda waomba kumuona Rais Magufuli
Waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda jijini Dar es Salaam wamesema wananyanyasika kupita kiasi kutokana na kukamatwa hovyo na askari na watu wasiofahamu ni kina nani, hivyo wanaomba Rais John Magufuli aingilie kati kuwaokoa. Wakizungumza na JAMHURI mwishoni mwa wiki, wadereva…
Familia ya JK yahusika UDA
Baada ya usiri wa muda mrefu juu ya familia ya Rais (mstaafu), Jakaya Kikwete, kuhusika na ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) uliotawaliwa na kiwingu, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebainika kuwa familia hiyo inahusika na ni…
Zavala ‘wasotea’ umeme miaka 7
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Pwani, limesema wananchi wa Zavala, Kata ya Chanika wataanza kupelekewa huduma ya umeme wiki hii. Meneja wa Tanesco Mkoa wa Pwani, Injinia Martin Madulu, ameithibitishia JAMHURI kuwa maandalizi yote kwa ajili ya kazi…
Bandari balaa
Uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ambao umeshikwa na baadhi ya viongozi walioshiriki kwenye upotevu wa maelfu ya makontena, unafanya kila mbinu kujinasua kwenye kashfa hiyo. Juhudi hizo za kujinasua zinatokana na Gazeti la JAMHURI kuwataja kwa majina na…
Polisi, Magereza wadaiwa sugu Moshi
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) imezitangaza rasmi taasisi tatu za Serikali mkoani Kilimanjaro kuwa ni wadaiwa sugu. Taasisi hizo ni Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Kilimanjaro, Chuo cha Taaluma ya Polisi (MPA),…
RC, wana mazingira watifuana K’njaro
Wanaharakati wa mazingira mkoani Kilimanjaro wamemtaka Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla (pichani), kufuta maagizo yake ya kuzitaka halmashauri za wilaya kuvuna magogo katika misitu ya asili kwa ajili ya kutengeneza madawati. Makalla akiwa wilayani Same hivi karibuni, alitoa maagizo…