Category: Kitaifa
Ofisa KCMC atuhumiwa kuajiri Warundi
Ofisa Utumishi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Kilimanjaro, inayomilikiwa na Shirika la Msamaria Mwema (GSF), Alpha Chabakanga (57), anatuhumiwa kuwaajiri raia wanne wa Burundi katika shughuli za ujenzi wa nyumba yake. Pia anatuhumiwa kuvunja haki za binadamu kwa kumtumikisha…
TEF yapata safu mpya ya uongozi
Mhariri Mtendaji wa Gazeti JAMHURI, Deodatus Balile, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Balile alichaguliwa katika nafasi hiyo katika uchaguzi uliofanyika Jumamosi iliyopita mjini Morogoro. Katika uchaguzi huo uliojaa ushindani, Balile alipata kura 47 na kumshinda…
Ya Lake Oil tuliyasema
Februari, 2013 tuliandika habari ambayo hatimaye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano, imeuthibitishia umma ilikuwa kweli. Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil imebainika kukwepa kodi ya Sh bilioni 8.5…
Mabadiliko Bandari
Baada ya Bandari ya Dar es Salaam kulalamikiwa kwa muda mrefu kuwa haina ulinzi mzuri wa mali za mateja, hatimaye uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) umechukua hatua za dhati kwa kuimarisha mfumo wa ulinzi. Kati ya mambo waliyofanya,…
Ukweli kuhusu UDA
Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena alikutana na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam akazungumza nao kuhusiana na habari kuu tuliyoichapisha katiak toleo Na 225 la Gazeti la JAMHURI. Katika maelezo yake,…
Prof. Lipumba atia ubani Zanzibar
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amekuwa sehemu ya makundi ya watu wa kada mbalimbali nchini anayepinga kurejewa kwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar. “Zanzibar inaumbiwa hatari kubwa, na mtu wa kuokoa hatari hiyo si mwingine. Ni…