Category: Kitaifa
Trump: Ni maoni yake
Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump (pichani), amempongeza kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, siku chache baada ya kiongozi huyo wa dini kutilia shaka kuhusu imani yake ya kidini. Papa amesema kuwa pendekezo la Trump la kujenga…
Hatoki mtu mpaka kifo – Rais Mugabe
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameamua kuweka pamba masikioni, baada ya kupuuzia wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon, kwa viongozi wa Afrika kuacha kung’ang’ania madaraka kwa muda mrefu. Hakuna ubishi kwamba kauli hiyo ya Ban…
Sarakasi Bandari
Sakata la kufungia mita za kupimia mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya kupata vielelezo vinavyoonyesha kuwa Kamishna wa Wakala wa Vipimo, Magdalena Chuwa aliyesimamishwa kazi kupisha uchunguzi alitengeneza mkoroganyo mkubwa. Chuwa alizigonganisha taasisi za…
Profesa Maghembe aigeukia KINAPA
Kampuni kadhaa za uwakala wa utalii zinazotoa huduma kwa watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA), zinatuhumiwa kuunda mtandao wa kuhujumu mapato ya hifadhi hiyo. Kampuni hizo zinashirikiana na watumishi wasio waaminifu wa hifadhi hiyo, kuingiza wageni kwa…
Rais Magufuli aimwagia sifa ‘JAMHURI’
Rais John Pombe Magufuli amelipongeza gazeti la JAMHURI na kulitaja kama gazeti mfano wa kuigwa nchini kutokana na habari zake za uchunguzi uliobobea. Akizungumza na wazee wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Rais Magufuli amelipa gazeti la JAMHURI heshima…
Kesi ya Kova, Nzowa kesho
Kesi inayowahusisha makamishna wawili wa polisi wanaogombea nyumba – Kamishna Suleiman Kova na Kamishna Msaidizi Mwandamizi Godfrey Nzowa inaendelea kesho mahakamani. Aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri, alipuuza maagizo ya Rais Dk. John Magufuli na kuzalisha mgogoro wa…