Category: Kitaifa
Madudu Usangu Logistics
Kampuni ya Usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi ya Usangu Logistics ya jijini Dar es Salaam imelalamikiwa kwa kuwanyanyasa wafanyakazi na kujihusisha na ukwepaji wa kodi kwa kutumia namba bandia za magari. Wafanyakazi wa kampuni hiyo, wanaodai kunyanyaswa…
Kwa Magufuli haponi mtu
Juzi Jumapili, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli alifanya mabadiliko ya ghafla kwa kumteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Taarifa hizo zilithibitishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu, Gerson Msigwa. Kabla ya…
Miaka 92 ya Rais Mugabe na ndoto za kuwa bondia
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema kwamba ana nguvu ambazo hata kama akipanda ulingo wa ndondi anaweza kumpiga mpinzani wake. Rais Mugabe, ambaye hivi karibuni alitimiza miaka 92, akiwa ni kiongozi pekee barani Afrika aliyekaa madarakani kwa muda mrefu, alikwishatoa…
JWTZ kuwakung’uta wahalifu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imelikaribisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye mapambano dhidi ya majambazi na wahalifu wengine. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, ameikaribisha JWTZ ili itumie misitu na mapori…
‘Mahekalu’ Masaki, Oysterbay kuvunjwa
Serikali imeamua kufuatilia kwa kina wakazi wa Dar es Salaam wanaomiliki viwanja ambavyo kwenye ramani za mipango miji vinaoneshwa kuwa ni maeneo ya wazi. Maeneo ambayo Serikali inayamulika ni yale yenye hadhi, umaarufu na thamani kubwa yaliyopo Oysterbay, Masaki, Mikocheni,…