Category: Kitaifa
Shaka awatolea uvivu wabadhirifu serikalini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amtoa onyo na kuwatahadharisha wtumishi wote ambao wamepewa dhamana katika Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, wasithubutu kufanya…
China yasemehe baadhi ya madeni Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba na Hati za Makubaliano ya kimkakati 15 akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Xi Jinping. Miongoni mwa mikataba hiyo…
Kairuki abainisha maeneo saba atakayoyasimamia TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amebainisha vipaumbele na maeneo ambavyo Wizara itawekea mkazo katika kipindi ambacho atakuwa akihudhumu katika Ofisi ya Rais TAMISEMI. Amebainisha hayo leo tarehe 03 Novemba, 2022…
Serikali yasitisha utambuzi wa mifugo kwa hereni za kielektroniki
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha kwa muda wa miezi mitatu zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki wakati ikiendelea na tathmini ambayo itawezesha kutoa muongozo wa namna bora zaidi ya kutekeleza zoezi hilo. Majaliwa amesema…