JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mikopo yaponza wabunge

Hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya kuwafikisha wabunge wanne mahakamani kwa tuhuma za kuomba rushwa, uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa mikopo waliyochukua wabunge kutoka benki mbalimbali nchini imegeuka mwiba kwao. Taarifa za benki mbalimbali na…

Mwalimu Nyerere wadanganya umma

Kwa wiki mbili zilizopita gazeti hili la JAMHURI, limechapisha taarifa za upungufu mkubwa na matatizo mbalimbali yaliyoko katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, zamani kikijulikana kama Chuo cha Siasa Kivukoni.  Miongozi mwa habari zilizochapishwa na JAMHURI, ni pamoja na…

Wanywaji wailalamikia TBL

Wananchi na watumiaji wa bia wamelalamikia hatua ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupandisha bei ya bia kabla hata bajeti ya Serikali haijapitishwa. Tangu Aprili 1, 2016 bei za bia zimepanda kutoka wastani wa Sh 2,300 na kufikia 2,500, huku…

Kigogo Uhamiaji aibeba TBL

Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, ameibeba Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL) kwa kupuuza agizo la kufanya ukaguzi kwa wafanyakazi kiwandani hapo. Vyanzo vya habari vya uhakika kutoka idarani humo vimedokeza kuwa Uhamiaji…

Bandari yamliza mfanyakazi miaka 22

Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika kashfa nyingine baada ya kudaiwa kufanya makato makubwa kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi yasiyojulikana yanapelekwa wapi. Edrick Katano ni miongoni mwa wafanyakazi wengi waliokatwa makato yasiyo na maelezo. Kabla…

TBL maji shingoni

Wiki tatu tangu gazeti hili limeanza kuchapisha taarifa za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) inayomiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited (TBL) zinazomilikiwa kwa ubia kati ya Watanzania (38%) kupitia Soko la Hisa…