JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Ujanja wa SABmiller mabosi wa TBL

Kampuni ya SABmiller haitafuni kwa bahati mbaya matunda ya kodi pekee kutoka nchi zinazoendelea.  Mikakati yake ya kukwepa kodi ni zaidi ya kawaida, kwani inatumia njia ya kampuni zinazohusiana na kampuni hiyo zilizozoko sehemu mbalimbali duniani. Kadhalika, inatumia Kundi la…

Mkataba TBL balaa

Ni vigumu kupata maneno sahihi ya kutumia yakaeleweka kutokana na janga ambalo watendaji wa Serikali walioshiriki katika majadiliano ya kuibinafsisha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) waliliingiza taifa, kwani mkataba wa TBL ni balaa kubwa kwa nchi, baada ya siri…

Waziri avunja mtandao Bandari

Wiki chache baada ya Gazeti la JAMHURI, kutoa taarifa juu ya viongozi wa Bandari ya Dar es Salaam wanaotajwa kutumia kampuni wanayoimiliki kupata zabuni licha ya kutokuwa na sifa, Serikali imeingilia kati na kuvunja mtandao unaogawa kazi kimizengwe. Tayari Waziri…

Jaji Mkuu Chande atembelea JAMHURI

Jaji Mkuu wa Tanzania (CJ), Othman Chande (pichani) Ijumaa iliyopita alifanya ziara ya ghafla katika ofisi za Gazeti la JAMHURI zilizoko katika Jengo la Matasalamat Mansion, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wahariri…

Utata waliofia mgodini TanzaniteOne

Usiri mkubwa unaendelea kufanywa na wamiliki wa mgodi wa TanzaniteOne mkoani Manyara, baada ya kubainika kufukiwa kwa watu watatu; watumishi wa mgodi huo. Watu hao walifukiwa kwa kile kinachoelezwa kwamba walishukiwa kuwa ni wavamizi walioingia mgodini kujitwalia madini ya tanzanite….

TBL wakwepa kodi hadi Uingereza

Kwa muda wa wiki sita tumekuwa tukikuletea mwedelezo wa taarifa jinsi kampuni ya SABmiller inayomiliki Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) inavyotumia udhaifu wa kisheria kutolipa kodi sahihi. Ifuatayo ni taarifa ya utafiti uliofanywa na Kampuni ya Uingereza iitwayo ActionAid…