JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wananchi waipongeza JWTZ

Baada ya gazeti hili la JAMHURI kuchapisha habari kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesambaza askari wake nchi nzima kuimarisha usalama na kupambana na baadhi ya watu waliotaka kulitia doa Taifa la Tanzania kwa kufanya mauaji ya…

Kiama CCM

Sasa ni wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kipo kwenye hatua za mwisho za kufumuliwa na kuundwa upya. Hatua hiyo itawezekana punde tu baada ya Rais John Magufuli, kupigiwa kura na Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23,…

Tembo, faru hatarini kutoweka

Machafuko ya kisiasa katika nchi za Afrika na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, kumechangia kuzagaa kwa silaha za kivita katika baadhi ya nchi ikiwamo Tanzania, hatua iliyotajwa kuwa kichocheo kikubwa cha mauaji ya tembo nchini. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni…

Mifugo kuua Hifadhi ya Katavi

Hifadhi ya Taifa ya Katavi iko hatarini kutoweka, kutokana na kuingizwa kwa maelfu ya mifugo. Katavi ni Hafadhi ya Taifa ya tatu kwa ukubwa miongoni mwa hifadhi 16 hapa nchini. Hifadhi nyingine ni Serengeti, Ruaha, Mikumi, Milima ya Udzungwa, Milima…

Nchi ilivyochezewa

Serikali ya Awamu ya Nne kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, ilibariki kampuni ya bilionea wa Kimarekani ya Wengert Windrose Safaris Tanzania Limited, kupewa uwekezaji wa kimkakati, kupitia vitalu vya uwindaji inavyomiliki, kikiwamo kimoja isichokimiliki kisheria. Agosti 20, mwaka jana,…

Uhamiaji Dar ni aibu

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam inatuhumiwa kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni zinazosimamia idara hiyo, huku Kamishna wa Idara hiyo, Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, akibebeshwa mzigo. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umethibitisha pasi na…