Category: Kitaifa
TAKUKURU yawachunguza TBL
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanya uchunguzi wa kina kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuthibitisha habari za kiuchunguzi zilizofanywa na gazeti hili la JAMHURI na kubaini kuwa TBL wanatumia udhaifu wa sheria kukwepa kodi nchini….
Benki ya Ushirika K’Njaro matatani
Benki ya Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KCBL) inakusudiwa kushitakiwa mahakamani kujibu tuhuma za kumdanganya mwanachama wa Benki ya Kijamii Vijijini (VICOBA) kuwa benki hiyo ingempatia mkopo wa Sh milioni 50. Mwanachama huyo, Vicent Mulamba, ameipa KCBL hati ya kusudio la…
Huawei wanasa mtego wa Serikali
Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana imeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kubaini wafanyakazi raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi nchini bila vibali. Wiki iliyopita, viongozi wa wizara hiyo walivamia ofisi za kampuni ya mawasiliano ya Huawei…
Chuo cha Mandela hekaheka
Ujanja ujanja kwenye mfumo wa mishahara ya watumishi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ya jijini Arusha, unatajwa kuwa chanzo cha Serikali kupoteza fedha nyingi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa mfumo wa ‘Lawson’ unaotumika kuandaa…
Dalali, TBA mikononi mwa Waziri Mkuu
Waliouza nyumba ya Serikali namba 162, kiwanja namba 1103 iliyoko Kitalu ‘S’ eneo la Mafiati jijini Mbeya kwa gharama ya Sh milioni 250 kwa mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam, Saul Henry Amon, wamelalamikiwa kwa Waziri Mkuu. Nyumba hiyo ambayo…
Polisi Oysterbay ilivyouzwa
Mkataba wa utwaaji wa eneo la Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam uliofanywa na kampuni ya Mara Capital kutoka nchini Uganda, unatajwa kuwa miongoni mwa mikataba hatari iliyotekelezwa wakati wa uongozi wa Awamu ya Nne. Mwishoni mwa wiki iliyopita…