JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wingu zito

Watanzania wanaotegemea usafiri wa meli katika maziwa ya Victoria, Nyasa na Kigoma wako njia panda baada ya meli karibu zote zilizokuwa zinafanya kazi kuharibika.  Ukiacha meli kuharibika, wafanyakazi wa Kampuni ya  Marine Services Co. LTD (MSCL), inayoendesha huduma za usafiri…

Mahale kuboresha miundombinu

Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale itatumia kiasi cha Sh. bilioni 1.2 katika kuboresha miundombinu ya barabara, ili watalii waweze kuifikia hifadhi hiyo kwa urahisi kuliko hali ilivyo sasa. Akizungumza na JAMHURI, Kaimu Mhifadhi wa Hifadhi hiyo, Gadiel Moshi,…

Wananchi waipongeza JWTZ

Baada ya gazeti hili la JAMHURI kuchapisha habari kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesambaza askari wake nchi nzima kuimarisha usalama na kupambana na baadhi ya watu waliotaka kulitia doa Taifa la Tanzania kwa kufanya mauaji ya…

Muswada wa ATI unahitaji maboresho

Muswada wa Haki ya Kupata Habari (ATI) uliowasilishwa bungeni wiki iliyopita umeboreshwa kwa kuulinganisha na miswada iliyotangulia awali, ila umebaki na makosa ya msingi yanayopaswa kufanyiwa marekebisho kabla ya kupitishwa bungeni, wadau wa habari wameshauri. Uchambuzi uliofanywa na wadau wa…

Wananchi waipongeza JWTZ

Baada ya gazeti hili la JAMHURI kuchapisha habari kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesambaza askari wake nchi nzima kuimarisha usalama na kupambana na baadhi ya watu waliotaka kulitia doa Taifa la Tanzania kwa kufanya mauaji ya…

Kiama CCM

Sasa ni wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kipo kwenye hatua za mwisho za kufumuliwa na kuundwa upya. Hatua hiyo itawezekana punde tu baada ya Rais John Magufuli, kupigiwa kura na Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23,…