Category: Kitaifa
Tembo, faru hatarini kutoweka
Machafuko ya kisiasa katika nchi za Afrika na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, kumechangia kuzagaa kwa silaha za kivita katika baadhi ya nchi ikiwamo Tanzania, hatua iliyotajwa kuwa kichocheo kikubwa cha mauaji ya tembo nchini. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni…
Mifugo kuua Hifadhi ya Katavi
Hifadhi ya Taifa ya Katavi iko hatarini kutoweka, kutokana na kuingizwa kwa maelfu ya mifugo. Katavi ni Hafadhi ya Taifa ya tatu kwa ukubwa miongoni mwa hifadhi 16 hapa nchini. Hifadhi nyingine ni Serengeti, Ruaha, Mikumi, Milima ya Udzungwa, Milima…
Nchi ilivyochezewa
Serikali ya Awamu ya Nne kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, ilibariki kampuni ya bilionea wa Kimarekani ya Wengert Windrose Safaris Tanzania Limited, kupewa uwekezaji wa kimkakati, kupitia vitalu vya uwindaji inavyomiliki, kikiwamo kimoja isichokimiliki kisheria. Agosti 20, mwaka jana,…
Uhamiaji Dar ni aibu
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam inatuhumiwa kwa kukiuka sheria, taratibu na kanuni zinazosimamia idara hiyo, huku Kamishna wa Idara hiyo, Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, akibebeshwa mzigo. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umethibitisha pasi na…
JWTZ kazini
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeingia kazini rasmi na kuahidi kushughulika na vitendo vyovyote vya kikatili vinavyoendelea hapa nchini, hasa mauaji yaliyotokea Mwanza na Tanga hivi karibuni. JWTZ wameamua kuimarisha ulinzi nchini kote kutokana na matukio ya mauaji hayo,…