JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mkataba ‘tata’ Bima, Bakita

Mkataba wa mauziano ya nyumba kati Shirika la Bima la Taifa (NIC) na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), uliofanyika Oktoba 8, 2009 unadaiwa kuwa ni batili kwa kuwa taasisi iliyonunua haina uhalali kisheria. Mkataba huo unahusu nyumba zilizoko eneo…

Matumizi yazidi mapato serikalini

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli ikiwa na mikakati ya kupunguza matumizi ya fedha za umma yasiyokuwa na lazima kwa lengo la  kuwaletea wananchi maendeleo, kwa upande wake imeingia katika matumizi yanayozidi kiasi cha mapato…

Madini yatishia amani Morogoro

Wananchi wa Kitongoji cha Epanko ‘A’, Wilaya ya Ulanga, mkoani Morogoro, wamelazimika kuyakimbia makazi yao, huku wakilalamikia utekelezaji wa mradi wa uchimbaji wa madini ya graphite kwamba haukuzingatia mambo mengi yanayohusu maisha ya walengwa. Baadhi ya wananchi wa kitongoji hicho…

Changamoto za kufufua meli zinatisha

Pamoja na Serikali kuonesha nia njema ya kutaka kurudisha huduma za usafiri majini katika maziwa makuu, kwa kutumia vyombo vya umma yaani kuifufua Marine Services Company Limited (MSCL), tatizo bado lipo.  Serikali inategemea kutoa fedha kwa ajili ya kufufua meli…

Kimenuka Bandari

Bandari ya Dar es Salaam inapoteza wastani wa Sh bilioni 200 kwa mwaka kutokana na mtandao wa wizi ‘unaouza kazi’ na vyanzo vya mapato kwa wafanyabiashara binafsi. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI unaonyesha nyaraka mbalimbali zilizopelekwa kwa wakubwa zimeorodhesha majina, mtandao…

Uhamiaji wawakamata Ramada, wawaachia

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imefanya upekuzi katika Hoteli ya Ramada iliyopo Mbezi Beach jijini na kuwakamata wafanyakazi watatu wa kigeni Julai 5. Ukamataji huo umetokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lililoelezea…