Category: Kitaifa
Uhamiaji wawakamata Ramada, wawaachia
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam imefanya upekuzi katika Hoteli ya Ramada iliyopo Mbezi Beach jijini na kuwakamata wafanyakazi watatu wa kigeni Julai 5. Ukamataji huo umetokana na taarifa zilizoandikwa na gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lililoelezea…
Vigogo wagawana mali Bima
Baada ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuuza nyumba zake za Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwa Baraza la Kiswahili (BAKITA) kwa mkataba wenye utata NIC wameingia katika kashfa nyingine ya kutelekeza majengo yake kwa nia ya kuuziana kwa…
Bandari Dar balaa
Uongozi mpya wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) unahitaji kufanya kazi ya ziada kudhibiti mapato kwani maafisa wengi walioajiriwa katika Bandari mbalimbali nchini wana mbinu chafu za kutisha zinazoikosesha nchi mapato. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kwa makusudi baadhi…
Meja Jenerali Milanzi apigilia msumari mgogoro wa kitalu
Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi, amesema msimamo wa Waziri wa wizara hiyo wa kurejesha kitalu cha uwindaji wa kitalii kwa kampuni ya Green Miles Safaris Limited, ni sahihi, umezingatia sheria na hauwezi kutenguliwa. Amesema…
Hoteli yamjaribu JPM
Hoteli ya kitalii ya Ramada iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam imeajiri wageni wasio na vibali vya kufanya kazi husika nchini. Abdul Saleem Aboonhi Kollarathikkal, raia wa India mwenye hati ya kusafiria namba Z1873501 ameajiriwa katika Hoteli ya Ramada kama…
Mzungu ‘mchochezi’ afanya mbinu arudi Loliondo
Raia wa Sweden, Susanna Nordlund, anayejulikana kwa uchochezi katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo (LGCA), na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (SENAPA), anatumia mbinu aruhusiwe kuingia nchini. Susanna alifukuzwa nchini kwa ‘kupigwa PI’, mwaka 2010 lakini tangu wakati huo…