Category: Kitaifa
Mtanzania awa bosi Afrika
Mchumi kutoka Tanzania, Dk. Frannie Leautier ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais Mwandamizi katika kundi la Benki ya Mendeleo ya Afrika (AfDB). Benki hiyo ilimtangaza rasmi mwezi Mei, mwaka huu. Dk. Frannie alikuwa Mwenyekiti na mwanzilishi mwenza wa Mkopa Private Equity…
Bunge lafafanua tuhuma dhidi yake
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limefafanua tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na Gazeti la JAMHURI hivi karibuni kuhusiana na ajira za upendeleo, matumizi mabaya ya ofisi, muundo mbovu, kuajiri watoto wa vigogo na nyingine. Mkurugenzi wa Ofisi ya Spika,…
Wakala wamkaidi Prof. Muhongo
Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency), umekumbwa na kashfa baada ya kutoichunguza kampuni ya msambazaji wa mafuta ya Sahara Energy Resources Limited ya Nigeria. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kulikuwa na maelekezo ya kuchunguza chanzo…
Profesa Mwamila ang’oka Chuo cha Mandela
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST), Profesa Burton Mwamila, amejiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, JAMHURI linaripoti. Kujizulu kwa Profesa Mwamila, kumekuja siku chache baada ya vyombo vya ukaguzi…
Mchungaji amweka kinyumba kijana
Kituo cha Polisi cha Wazo Tegeta jijini Dar es Salaam katika Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kimeshutumiwa na wakazi wa eneo hilo kumlinda mhalifu anayedaiwa kumweka kinyumba mtoto wa kiume ambaye ni mwanafunzi (17). Kijana huyo (jina tunalo) anadaiwa kutekwa…
Bunge linavyoliwa
Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa wahusika kwenye ufisadi huo ni Naibu Katibu wa Bunge, Raphael Nombo; na Mkurugenzi Msaidizi wa Bunge (Utawala), Ndofi Merkion. Kiasi cha fedha wanachodaiwa vigogo hao ni Sh milioni 103 ambazo walilipwa kwa kigezo cha…