Category: Kitaifa
Tazara yapata mkataba mnono DRC
Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imesaini mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya usafirishaji ya African Fossils Ltd, ya hapa nchini, kusafirisha petroli yenye lita za ujazo milioni 18 kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkataba…
Serikali kulipa fidia Mbarali
Serikali imetenga Sh milioni 362 kwa ajili ya kuwalipa fidia wananchi 973 Agosti mwaka huu ambao ni miongoni mwa waliopunjwa fidia zao wilayani Mbarali, Mkoa wa Mbeya baada ya kuhamishwa katika vijiji vyao kupisha upanuzi wa Hifadhi ya Taifa ya…
Waziri amhujumu Rais
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William ole Nasha, ametajwa kwenye orodha ya watu wanaotuhumiwa kuihujumu Serikali kwa kuvujisha siri mbalimbali kwa raia wa kigeni. Tayari kuna taarifa kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vimepanga kumhoji juu ya ushirika…
Bunge tena!
Matukio ya ufisadi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yameendelea kuibuliwa, na safari hii yanahusu malipo ya Sh bilioni 6 kwa kampuni ya bima ya Jubilee. Malipo hayo kwa bima ya wabunge na familia zao yalianza kulipwa…
Mahakama yafanya kituko
Hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, imelalamikiwa na Festo Loya, ambaye alisimamiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye shauri la jinai namba 65/2015, lililomhusisha mtuhumiwa Petro Gembe. Akizungumza na JAMHURI, Loya anasema alipeleka shauri hilo mahakamani kutokana…
Kashfa Bunge
NA MANYERERE JACKTON Tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo na ufisadi zimeanza kufichuliwa ndani ya uongozi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwenye mlolongo huo, kumeibuka madai ya kuwajiriwa kwa watoto wa vigogo. Waziri mwanamke anatajwa…