Category: Kitaifa
Dk. Hoseah aanikwa
Aliyekuwa Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mushengezi Nyambele, ameweka hadharani namna aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, alivyokula njama kuzuia makontena kadhaa yenye shehena yasilipiwe…
Mzimu wa Escrow waigawa Serikali
Mzimu wa malipo ya zaidi ya Sh bilioni 300 kutoka kwenye akaunti ya Escrow, zilizokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) umeendelea kuigawa Serikali, baada ya baadhi ya maafisa wazito kutaka wamshauri Rais John Pombe Magufuli awaagize waliozichukua fedha hizo wazilipe,…
SSRA na kilio cha ‘Fao la kujitoa’
Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imewataka wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii kuachana na fao la kujitoa na badala yake iwe fao la kukosa ajira. Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Onorius Njole,…
Kampuni za mafuta kudhibitiwa
Januari, 2016 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikamilisha uanzishwaji wa Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency- PBPA). PBPA inatekeleza majukumu ya iliyokuwa kampuni binafsi ya kuratibu uagizaji wa mafuta ya petroli kwa pamoja (Petroleum…
Machimbo Geita yanavyoathiri taaluma
Wakati sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ikizuia watoto kufanya kazi katika maeneo ya machimbo, hali imekuwa tofauti katika eneo la kijiji cha Ikandilo kata ya Nyaruyeye Halmashauri ya wilaya ya Geita. Katika eneo hilo watoto wamekuwa wakifanya…
Majonzi Bukoba
Tetemeko la ardhi lililotokea wiki iliyopita Mkoani Kagera, limeacha vilio na simanzi kubwa, huku baadhi ya familia zikiwapoteza wapendwa wao, uharibifu wa mali na wengine wakiachwa na ulemavu wa kudumu. Mpaka sasa, hofu bado imetenda. Kama wanavyosema kwa aliyeng’atwa na…