Category: Kitaifa
Mabadiliko Bandari
Mkurugenzi Mkuu wa Bandari, Mhandisi Deusdedit Kakoko amefanya mageuzi makubwa katika Bandari ya Dar es Salaam, sasa magari yanaruhusiwa kutolewa kwa saa 24. Taarifa zilizolifikia JAMHURI zinasema Mhandisi Kakoko ametoa maelekezo mahususi kwa watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam…
Matapeli wa madini
Magenge ya matapeli kwenye biashara ya madini, yameibuka na kuendesha shughuli zake bila hofu. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwapo kwa matukio ya utapeli na kuifanya sifa ya Tanzania izidi kuchafuka mbele ya jumuiya ya kimataifa. Mwaka 2013, JAMHURI lilichapisha…
Serikali kufufua NASACO Bandari
Serikali inakusudia kufufua Shirika la Taifa la Uwakala wa Meli (NASACO), katika jitihada za kuboresha huduma katika Bandari ya Dar es Salaam kuhudumia wateja wake kwa ufanisi zaidi. Akizungumza na wahariri, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA),…
Bunge hali tete
Tunashukuru Ofisi ya Bunge imeendelea kuwathibitishia Watanzania kuwa ina matatizo ya kiutendaji. Safari hii Mkurugenzi wa Ofisi ya Spika, Said Yakub, ambaye kimsingi si Msemaji wa Ofisi ya Bunge, amekiri kuwa kuna watoto wa vigogo, ingawa anadai taratibu zimefuatwa kuwaajiri….
Magufuli, Kagame moto
Uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda umeimarika kwa kiwango cha hali ya juu na sasa Rais wa Rwanda, Paul Kagame amekubaliana na Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Mafuli mizigo yote ya nchi hiyo ianze kupitia Bandari ya Dar es…
Mtanzania awa bosi Afrika
Mchumi kutoka Tanzania, Dk. Frannie Leautier ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais Mwandamizi katika kundi la Benki ya Mendeleo ya Afrika (AfDB). Benki hiyo ilimtangaza rasmi mwezi Mei, mwaka huu. Dk. Frannie alikuwa Mwenyekiti na mwanzilishi mwenza wa Mkopa Private Equity…