Category: Kitaifa
Jaji Mtungi ajitosa usuluhishi CUF
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imeingilia kati mgogoro wa uongozi unaoendelea kufukuta ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), baada ya kuanza kuzisikiliza pande zinazosigana. Mgogoro huo umeibuka hivi karibuni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho, Profesa Ibrahim…
Kupungua kwa mizigo Bandari ya Dar es Salaam
Taarifa hii imetumia takwimu za shehena ya mizigo iliyopitia bandari ya Dar es Salaam kwa kipindi cha miaka miwili, Mwaka 2014 na 2015. Aidha, uchambuzi wa kina umefanyika kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Aprili katika Mwaka wa Fedha wa…
Kigogo TRA ‘ajilipua’
Mmoja wa waasisi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mushengezi Nyambele, hatimaye amejitokeza kueleza namna vigogo walivyoshiriki kuvuruga Mamlaka hiyo na vitendo vya ufisadi vilivyofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi serikalini. Nyambele ni Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi na Mshauri…
Siri ya kukauka mizigo Bandari
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeshangazwa na kuwepo kwa mvutano wa chini kwa chini kati ya Mamlaka ya Bandari (TPA), Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) pamoja na wadau wengine. Kamati hiyo imekutana na wadau wa…
Biashara holela chuma chakavu janga kwa miundombinu
Biashara holela ya chuma chakavu inayofanyika bila vibali na leseni nchini, inapoteza mapato na kusababisha hasara kwa taasisi za umma ambazo miundombinu yake huibwa na wafanyabiashara hao. Tangu taarifa zitolewe kwa mamlaka zinazohusika ikiwamo Ofisi ya Rais na ile ya…
Trafigura yashinda zabuni ya mafuta
Kampuni ya Trafigura PTE Ltd imeshinda zabuni ya kuleta mafuta hapa nchini mwezi Oktoba, kampuni hiyo imeshinda zabuni hiyo baada ya kushiriki kwa miaka minne bila mafanikio. Zabuni hiyo yenye thamani ya Dola za Marekani milioni 6,899,208, ilishindaniwa na makampuni…