Category: Kitaifa
JWTZ yasema utekaji si kisasi
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema utekwaji madereva wa Kitanzania uliofanywa na kikundi cha waasi cha MaiMai nchini Congo hauna uhusiano wowote na uwepo wa askari wa jeshi hilo nchini humo. Akizungumza na JAMHURI, msemaji wa Jeshi…
Wastaafu UDSM waendelea kusotea mafao
Wastaafu 638 wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 23 za mapunjo ya mafao yao kwa zaidi ya miaka 20 wamemwomba Rais John Pombe Magufuli kufuatilia madai hayo. Watumishi hao waliostaafishwa kazi mwaka…
Wasomi wampinga Mbowe
Wakati wa Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akimtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kukiri serikali kushindwa kuongoza nchi kutokana na kuwepo na viashiria vya kudorora kwa uchumi wasomi wamepinga kauli hiyo. Mbowe…
Agizo la Magufuli laibua utata
Agizo la Rais John Magufuli la kuwaondoa watumishi raia katika majeshi ya ulinzi na usalama, limeanza kutekelezwa, huku Wizara ya Utumishi wa Umma ikiendelea kupitia muundo. Taarifa ambazo JAMHURI limezipata, zinasema kuwa tayari kazi hiyo imekamilika katika Jeshi la Ulinzi…
Benki yakaidi amri ya Mahakama
Benki ya Biashara ya Kenya (KCB) tawi la Tanzania, imekaidi amri ya Mahakama Kuu, Kitengo cha Kazi, kwa kutomlipa aliyekuwa mfanyakazi wake fidia shilingi milioni 15, baada ya kukatisha ajira yake. Hukumu hiyo ilitolewa mwaka 2014 na Jaji Ibrahimu Mipawa,…
Dawa za kulevya bado ni janga
Matumizi ya dawa za kulevya nchini yameongezeka katika kipindi cha miaka miwili kwa asilimia 75 katika Mkoa wa Dar es Salaam. Zaidi ya wahanga 3,000 wa dawa za kulevya wanaendelea kupatiwa dawa (Methadone) katika vituo vya afya vitatu hapa nchini…