Category: Kitaifa
‘Majangili’ 3 mbaroni Arusha
Watu watatu, wamekamatwa mkoani Arusha wakiwa na vipande 16 vya pembe za tembo. Wawili kati yao wanatoka jamii ya Kimaasai ambayo kwa miaka mingi ilijulikana kuwa ni wahifadhi wazuri. Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha zimewataja watuhumiwa hao…
Chuo cha sukari matatani
Uongozi wa Chuo cha Taifa cha Sukari Tanzania (NSI) kilichopo Morogoro, umelalamikiwa kwa kukiendesha chuo kama taasisi binafsi. JAMHURI imepata taarifa kuwa chuo hicho hadi sasa kimeendeshwa kwa kipindi cha miaka tisa bila kuwa na Baraza la Uongozi. NSI inaongozwa na…
2016: Mwaka wa machungu kwa ‘mapedejee’
Zikiwa zimesalia siku 18 tu kumaliza kwa mwaka huu, baadhi ya Watanzania wameuona mchungu katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Magufuli. Mwaka huu umekuwa mchungu kwa wale waliozoea kuishi kwa mipango, wasiokuwa na kazi maalumu zaidi ya…
MSCL kitendawili kigumu
Baada ya miezi 10 bila ya wafanyakazi wa MSCL kupata mishahara, Serikali imeonekana kutaka kutekeleza ahadi yake ya kutaka kuifufua Kampuni hii. Serikali imefanya mabadiliko ya uongozi katika baadhi ya nafasi kwenye menejimenti, imekaribisha na inashindanisha makampuni mawili ya kigeni…
Kilichomng’oa bosi Jeshi la Magereza
Aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, John Minja, hakuomba kujiuzulu kwa ridhaa yake, JAMHURI limethibitishiwa. Badala yake, kiongozi huyo amefikia hatua hiyo baada ya kuwapo tuhuma kadhaa za matumizi mabaya ya madaraka zinazomkabili. “Ziara ya ghafla ya Rais…
Bomu la Dangote
Wakati joto likizidi kupanda kuhusu hatma ya kiwanda cha saruji cha Dangote kilichoko Mkoani Mtwara, JAMHURI limebaini kuna mgogoro mkubwa wa uongozi ndani ya kiwanda hicho, lawama zikielekezwa kwa serikali. Mmoja wa maafisa wa kampuni ya Dangote, ambaye amezungumza na…