Category: Kitaifa
Waziri Mkuu alivyopotoshwa Loliondo
Desemba 15, 2016 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alifanya ziara katika Wilaya ya Ngorongoro. Safari hii ililenga, pamoja na mambo mengine, kupata suluhu ya migogoro ya ardhi inayoendelea kwa miaka mingi sasa. Migogoro katika Tarafa ya Loliondo hailengi kitu kingine, isipokuwa…
Magufuli apigwa bil. 100
Juhudi za Rais John Pombe Magufuli kuongeza makusanya ya kodi zinahujumiwa, baada ya uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI kubaini kuwa katika wilaya moja tu ya mpakani, anapoteza zaidi ya Sh bilioni 100 kwa mwaka. Uchunguzi wa kina uliofanywa na JAMHURI…
Mkenya ‘kihiyo’ aongoza shule ya kimataifa Dar
Raia wa Kenya asiyekuwa na sifa za ualimu ameajiriwa kuwa Mkuu wa Shule za Kimataifa za St. Columba’s jijini Dar es Salaam; JAMHURI limebaini. Shule hizo zinazomilikiwa na Kanisa la Presbyterian Church of East Africa, lenye Makao Makuu nchini Kenya,…
Jenerali Waitara awatumia salamu majangili
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Jenerali mstaafu George Waitara, amewatumia salamu wanasiasa na viongozi wa Serikali ambao, kwa namna moja ama nyingine, wamekuwa nyuma ya wahalifu wanaojihusisha na ujangili. Waitara amewataka wote wanaojihusisha na ujangili…
Dozi ya Waziri Mkuu kwa NGOs za Loliondo
Kwa miaka mingi, eneo la Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, limekuwa kama ‘jamhuri’ ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Eneo hili lenye utajiri mkubwa wa wanyamapori, limekuwa likiongozwa na asasi zisizo za serikali (NGOs) zenye nguvu za…
Bandari kwafumuliwa
Katika kinachoonekana kuwa nia ya kuisuka upya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Serikali chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Injinia Deusdedith Kakoko, imefumua muundo wote wa uongozi kwa kufukuza Wakurugenzi sita, wafanyakazi 42 na kuwashusha vyeo…