JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

YUTONG yazindua basi la kisasa

Kampuni ya kutengeneza mabasi aina ya Yutong kwa kushirikiana na Benbros Motors Ltd, imezindua basi la kisasa lenye uwezo mkubwa ili kupunguza ajali za mara kwa mara. Akizungumza katika uzinduzi huo, Afisa Masoko, Albert Currussa, wa Benbros Motors Ltd anasema…

Kodi kikwazo cha uchumi

Serikali imetakiwa kuboresha mipangilio ya ulipaji kodi ikiwamo kuondoa tozo zisizokuwa za ulazima, ili kutengeneza mazingira rafiki kwa wawekezaji pamoja na kuepuka kupungua kwa mzunguko wa fedha. Akifanya mahojiano maalumu na JAMHURI, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Morogoro,…

Bunduki 13 zanaswa familia ya Mbunge

Watu kadhaa, wakiwamo wenye nasaba na Mbunge wa Mbarali, mkoani Mbeya, Haroon Mulla (CCM), wamekamatwa katika operesheni maalumu wakituhumiwa kujihusisha na ujangili. Katika operesheni hiyo, inayoongozwa na kikosi kazi kinachovishirikisha vikosi vya ulinzi na usalama, bunduki 13 za aina mbalimbali…

Kiwanda cha Bakhresa chachafua mazingira

Maisha ya wananchi wanaoishi jirani na Kiwanda cha Bakhresa cha kuchakata matunda kilichopo katika Kijiji cha Mwandege, Mkoa wa Pwani, yapo hatarini kutokana na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda hicho. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wananchi hao wanasema maisha…

Waajiriwa Uhamiaji bila kupewa barua

Ikiwa ni mwezi wa tano sasa vijana 300 walioajiriwa katika Idara ya Uhamiaji wakiwa hawajalipwa mishahara, imebainika kuwa chanzo ni kutopewa barua zao za ajira. Rais John Magufuli, akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari Ikulu, Dar es Salaam wiki…

Polisi ‘mwizi wa magari’ afukuzwa kazi

Jeshi la Polisi limemfukuza kazi askari wake, PC Hamad Mud wa Kituo cha Polisi Sanya Juu, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, akitajwa kuwa kinara wa mtandao wa wizi wa magari. Kwa uamuzi huo, Mud anasakwa ndani na nje ya nchi…