Category: Kitaifa
Utapeli wa ardhi Dodoma
Mjane miaka 84 alizwa, mabaraza ya ardhi yakithiri rushwa Lukuvi aombwa kutatua mgogoro Mkazi wa Kijiji cha Handali, Wilaya ya Dodoma Vijijini, Hilda Mzunde (84), amemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kuupatia ufumbuzi mgogoro wa…
Kilichomponza Nape
Duru za siasa kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, zimeanza kutaja chanzo cha aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, kupoteza wadhifa huo. Vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa vumbi la Uchaguzi Mkuu la Mwaka 2015 bado linaendelea kutimka ndani…
Moyo, figo kunusuru maisha
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iko katika maandalizi ya mapendekezo ya muswada kwa ajili ya kupeleka bungeni ili liridhie na kupitisha sheria itakayoweza kuruhusu mtu kuandika wosia ili viungo vyake kutumika baada ya kufariki. Viungo hivyo ni pamoja…
ECA ya vijana kuzaliwa Z’bar
Mwishoni mwa 2010 na mwanzoni mwa 2011, dunia ilishuhudi mfululizo wa maandamano na kuanguka kwa tawala kongwe katika ulimwengu wa Kiarabu. Maandamano hayo yanaitwa “Arabian Spring.” Yalianza kwa Mapinduzi ya Tunisia ambayo yalifanyika kwa hisia binafsi ya Mohamad Bouazizi Desemba…
Mwisho wa kuibiwa madini waja
Huenda huu ukawa ndiyo mwisho wa Tanzania kuibwa rasilimali zake hususani madini, kutokana na Bunge kuingilia kati na kutaka kufahamu ni kwa namna gani nchi inanufaika na biashara ya madini. Mwisho huu unatokana na Spika wa Bunge, Job Ndugai, na…
Mwalimu aivuruga shule Geita
Mwalimu wa Shule ya Msingi Kasamwa, Magreth Magesa, anadaiwa kusababisha migogoro ya kiutendaji shuleni hapo, hali iliyosababisha kuhamishwa kwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, James Magela. JAMHURI kupitia kwa vyanzo vyake, limebaini kuwa Mwalimu Magreth Magesa amekuwa ni mtovu wa…