JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Dk. Shein ameifanyia Zanzibar mazuri

Ni miaka saba sasa tangu Dk. Ali Mohammed Shein, Rais wa Awamu ya Saba Zanzibar kushika hatamu za uongozi wa Visiwa vya Zanzibar baada ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mengi yalisemwa na kuandikwa kuhusu utawala wake utakavyokuwa kabla…

Dk. Shein akomboa elimu Z’bar

Ni jambo lisilokuwa na ubishi kuwa elimu ndicho chanzo muhimu kabisa kitakachomletea maendeleo na ukombozi wa kweli wa  mwanadamu, elimu inawatoa wanadamu katika gugu la ujinga. Umuhimu wa elimu umeelezwa kwa kina katika vitabu ya dini na katika vitabu vingine,…

Mgogoro wa ardhi Mtwara

Mgogoro wa ardhi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo, Albert Mbila, kujitoa lawamani kwa kusema suala hilo halikuwa na mkono wake.  Mbila anatajwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Mgogoro wa Ardhi…

Siri ya mauaji

M atukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa. Kwa…

Mafuta yanukia Zanzibar

Kazi ya uchambuzi wa taarifa za utafiti wa awali kuhusu rasilimali za mafuta na gesi asilia katika visiwa vya Zanzibar na bahari yake, imeanza huko Edinburg, nchini Uingereza, na inatarajiwa kukamilika baada ya mwezi mmoja. Uchambuzi wa taarifa za utafiti wa…

Vita yanukia

Hatari na wasiwasi uliokuwapo mwaka 2014 kwamba dunia ilikuwa na uwezekano wa kuingia katika Vita Kuu ya III ya Dunia, umerejea na wakati wowote dunia inaweza kuingia vitani. Pamoja na kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump, wakati wa kampeni alisema…