Category: Kitaifa
JWTZ waingia Rufiji
Kikosi maalumu cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kimepelekwa katika wilaya za Mkuranga, Rufiji na Kibiti mkoani Pwani, kukabiliana na genge la majahili linaloendesha mauaji ya askari, viongozi na wananchi wasio na hatia. Kikosi hicho kinatajwa kuundwa…
IPTL ‘bye bye’
Kuna kila dalili kampuni ya kufua umeme ya IPTL kutopata leseni ya miezi 55, kama ilivyoomba, kutokana na maombi hayo kuja wakati wananchi wakiwa bado na hasira na kampuni ambayo ilihusika na uchotwaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti maarufu…
Wananchi Kigamboni wasotea umeme
Wakazi wa Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam, wameulalamikia uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa kushindwa kusambaza umeme kwa wateja wapya, licha ya kulipia huduma hiyo kwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati…
Mapya yamfika Muhongo
Mambo hubadilika ghafla. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, anatarajiwa kuhojiwa na vyombo vya usalama leo kutokana na sakata la mchanga wenye madini. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI zimethibitisha kuwa Prof. Muhongo atahojiwa kuhusiana na ripoti ya…
Kimenuka REA
Baadhi ya kampuni zilizoomba zabuni kwenye Awamu ya Tatu ya Mradi Kabambe wa Kusambaza Umeme Vijijini Awamu II, zimeghushi nyaraka. Mradi huo wenye thamani inayokaribia Sh trilioni moja, unalenga kufikisha umeme wa gridi kwenye vijiji 3,559 katika mikoa 25 ya…
Asotea mafao PPF miaka 15
Stanslaus Mlungu (78), aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na kustaafu kazi Desemba 31, 1991 kutokana na matatizo ya kiafya, amelalamika kwamba ameibwa fedha zake za pensheni na watumishi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mwaka 1992. Mlungu…