Category: Kitaifa
Mtatiro: Sina Sifa ya Kuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni
Julius Mtatiro anasema amepokea meseji nyingi sana zikimuomba agombee ubunge jimbo la Kinondoni baada ya Mbunge wa (CUF – Lipumba), Ndugu Maulid Mtulia kuhamia CCM. Ammesema kwamba msimamo wake kuwa hana ndoto za kugombea ubunge wa jimbo la Kinondoni. Masuala…
Marekani Yamnyoshea Kidole Odinga Mpango Wake wa Kutaka Kuapishwa
Marekani imemtaka kiongozi wa upinzani nchini kenya Raila Odinga kuacha mpango wake wa kuapishwa kama raisi wan nchi hiyo wiki ijayo. Odinga aliwasilisha Malalamiko juu ya mapungufu katika uchaguzi mkuu uliopita na kusababisha uchaguzi wa marudio ambapo Uhuru Kenyata alishinda…
Vladimir Putin Atangaza Nia ya kuwania tena urais 2018
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kuwa atawania kiti cha urais kwa mara nyingine tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao wa 2018. Alitangaza hayo alipokuwa akiwahutubia wafanyikazi huko Nizhny Nov-gorod. Rais Putin ambaye ana umri wa miaka 65 alichaguliwa…
Rais Trump Sasa Aitambua Yerusalem ni Mji Mkuu wa Israel
Akiongea katika Ikulu ya Marekani, Rais Trump ameutambua mji wa Yerusalem kama mji mkuu wa Israel, maamuzi ya kihistoria yanayopindua sera za miaka mingi za Marekani. Rais Donald Trump ametangaza kuwa Ubalozi wa Marekani utahamishwa kutoka katika eneo la sasa…
Haya ndiyo Makazi mapya Ya Mama Samia Suluhu Mjini Dodoma
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pindi atakapohamia Dodoma. Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo katika eneo la Kilimani, mjini Dodoma ambako yalikuwa makazi ya Mkuu…
Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi 6
Rais Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi 6 za taasisi za Serikali baada ya wenyeviti waliokuwepo kumaliza muda wao. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 06 Desemba, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Kwanza Mhe. Rais…