JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Serikali yaipa tano NMB kutenga bil. 100/- kukopesha wasambazaji nishati safi

SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania, na kwamba Serikali itaingia kifua mbele katika Mkutano Mkuu wa Nishati wa Wakuu wa Nchi…

ACT Wazalendo yampongeza Lissu kwa ushindi

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amempongeza Tundu Lissu kwa kushinda nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada kumshinda mstaafu Freeman Mbowe. Tundu Lissu amepata ushindi wa kura 513 sawa na asilimia 51.5 Odero Charles Odero amepata kura 1…

Ni Samia

*Haijapata kutokea: Yeye, wenzake wapitishwa bila kujaza fomu *Dk. Mwinyi akabidhiwa bendera ya CCM urais Zanzibar *Dk. Nchimbi apitishwa kuwania u-Makamu wa Rais kumrithi Dk. Mpango *Wasira ‘Tyson’ akabidhiwa mikoba CCM Tanzania Bara Na Waandishi Wetu, Dodoma, Dar Mkutano Mkuu…

Rais Samia, Mwinyi mitano tena

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wamempitisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Tanzania, kuwania nafasi hiyo kwa muhula mwingine katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Pia mkutano huo umempitisha…

‘Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa wa Chama Cha Mapinduzi’

“Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa Chama cha Mapinduzi, hiki ndicho chama kikubwa kuliko chama kingine hapa nchini, sisi ni chama kikubwa kimuundo, kioganaizesheni, kihistoria na hata kwa idadi ya wanachama” Dkt. Samia Suluhu Hassan