JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Babu Seya na Mwanae Johnson Nguza ‘Papii Kocha Wapata Msamaha wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kumsamehe Nguza Viking marufu kama ‘Babu Seya’ na mwanae Johnson Nguza ‘Papi Kocha’ waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka. Rais Magufuli ameyasema hayo leo Mjini…

Rais Magufuli Amtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Ulinzi

Kufuatia vifo vya Wanajeshi 14 wa Tanzania ambao walikuwa miongoni mwa wanasheshi wa Umoja wa Mataifa UN wa kulinda Amani nchini DRC Congo (MUNUSCO), Amiri Jeshi Mkuu, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemtumia…

Wanajeshi zaidi ya 12 wa Tanzania Wauawa DRC Congo

Umoja wa Mataifa umethibitisha kwamba walinda amani 14 wa muungano huo waliuawa na wengine 53 kujeruhiwa baada ya kambi yao kuvamiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kati ya waliouawa,…

Msigwa, Mtolea Watoa Sababu ya Wapinzani Kuhamia CCM

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema wanasiasa wanaohama kutoka vyama vya upinzani kwenda CCM, wanafanya uamuzi huo kutokana na uoga. Msigwa amesema hay oleo Ijumaa wakati akihojiwa katika kipindi cha Morning Trumpet kilichorushwa na televisheni ya Azam akiwa…

Waziri Kigwangalla Aunda kamati ya Kuongoza “TANZANIA HERITAGE MONTH”

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamisi Kigwangalla ameunda kamati ya kuongoza maandalizi ya namna watanzania na wageni wa Tanzania watakavyosherehekea Utanzania wao kwenye mwezi maalum utakaojulikana kama “TANZANIA HERITAGE MONTH” Akielezea wakati wa kutangaza kamati hiyo iliyojumlisha wadau mbalimbali wakiwemo…

Lijualikali na Kiwanga Wapata Dhamana

Mahakama ya Hakimu Makazi Morogoro imewaachia kwa dhamana wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Disemba 7. Wabunge hao walioachiliwa ni Peter Ambrose Lijualikali ambaye ni Mbunge wa Kilombero na Susan Limbweni Kiwanga ambaye ni Mbunge wa…