JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Airtel Yaleta Bando Mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari. Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchunda akisikiliza kwa makini maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari (hawapo pichani). Viongozi hao wakiwa wameshikilia bango la…

Ukweli Kuhusu Soko la Muhogo China

Sasa mkulima au mfanyabiashara akitaka kuuza au kununua muhogo, ni lazima aelimishwe juu ya masharti hayo ya mkataba. Mwenye dhamana ya kutoa elimu hiyo ni nani? Kwa maoni yangu ni Wizara ya Kilimo ambayo ndio imeingia mkataba na Mamlaka za…

Hizi Ndio Sababu za JWTZ kwenda DRC

Mei, 2013, aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wapiganaji wa Tanzania waliokwenda DRC kulinda amani dhidi ya waasi wa kundi la M23 Mashariki wa nchi hiyo. Rais Kikwete alimkabidhi bendera kiongozi wa…

ADF waandaliwa ‘kipigo cha mbwa mwizi’ kama cha M23

Ni wazi kuwa siku za kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) linaloshutumiwa kwa kuwaua wanajeshi 14 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), sasa zinahesabika. Kundi hilo lipo DRC na Uganda, na limekuwa likiendesha mauaji kwa…

Jiji La Dar Es Salaam La Pata Tuzo Ya Usafirishaji Abiria Kupitia Mabasi Ya Mwendo Kasi

JIJI la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji 10 duniani ambayo yamepata tuzo ya C40 Bloomberg Philantropies 2017 kupitia Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka. Katika tuzo hiyo mwaka huu imepokelewa na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam…

Magufuli Asaini Misamaha Ya Wafungwa

Rais John Magufuli amesaini nyaraka za wafungwa 63 ambapo wafungwa 61 walikuwa wamehukumiwa kunyongwa na wawili kifungo cha maisha. Nyaraka hizo alizisaini mbele ya Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa huko Dodoma. Katika msamaha huo wamo wanamuziki wawili,…