Category: Kitaifa
HUSSEIN BASHE AWAOMBA RADHI WOTE ALIOWAKOSEA
Katika salamu za kuazimisha kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo ( Christmas) Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ametumia siku hii ya leo ya Christmas kuwaomba radhi wale wote aliowakosea katika utekelezaji wa majukumu yake.
MTWARA WASIMAMISHA MNADA WA KOROSHO
Chama kikuu cha Ushirika Cha Masasi,Mtwara Cooperative Union(MAMCU) kimelazimika Kusimamisha Minada ya zao la Korosho Iliyokuwa Ikifanyika kila Ijumaa kwa Kipindi cha Wiki Mbili kutokana na Wakulima Kukusanya Korosho ambazo hazijakauka hali inayoathiri Soko hilo. Kaimu Meneja wa MAMCU Potency…
WAZIRI NDALICHAKO: WADAIWA WOTE WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU LAZIMA WALIPE
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako amewataka wote wanaodaiwa mikopo ya Elimu ya Juu kuirejesha mikopo hiyo mara moja pasipo kungoja kuchukuliwa hatua za kisheria. Katika mahojiano aliyoyafanya na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Waziri…
Halima Mdee Anena Kuhusu Uuzwaji wa Nyumba za Serikali
Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Kawe Halima Mdee leo kupitia kwenye ukurasa wake wa Kijamii wa Twitter amesema uuzwaji wa nyumba za serikali ni miongoni mwa mambo ya Kifisadi yaliyowahi kutokea na yanayoendelea kuligharimu Taifa. Halima Mdee aliongeza kusema kuwa…
Mwanajeshi Aliyeshambuliwa DR Congo Afariki Dunia
Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amefariki dunia nchini Uganda alimokuwa akipatiwa matibabu. Askari huyo ni miongoni mwa askari 44 wa Tanzania waliojeruhiwa katika…
Hifadhi Duni Yasababisha Kahawa Kutonunuliwa Mnadani
Vyama vya msingi vya ushirika mkoani Kilimanjaro vinavyotumia kiwanda cha kukoboa kahawa cha Tanganyika (TCCCo), vipo katika wakati mgumu baada ya kahawa yao kutonunuliwa kwenye mnada unaoendeshwa na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB). Kususiwa kwa kahawa hiyo, kunaweza kusababisha vyama hivyo…