Category: Kitaifa
BOT: BENKI ZILIZOFUNGIWA ZITAKUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU
Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imezifutia leseni benki 5 baada ya kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha. Benki hizo ni Covenant Bank for Women, Efatha Bank Limited, Njombe Community Bank, Meru Community Bank na Kagera Farmers’ Cooperative Bank. Gavana wa…
WAZIRI JAFFO AAGIZA UJENZI WA BARABARA INAYOELEKEA HOSPITALI YA BUGURUNI KUJENGWA
Ilala kuanza ujenzi wa barabara ya Buguruni kwa mnyamani ndani ya wiki moja kuanzia leo ili kuondoa kero kwa wananchi wa eneo hilo. Waziri Jaffo ametoa agizo hilo baada ya kufanya ukaguzi katika barabara hiyo inayoelekea katika hospitali ya Buguruni…
MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA
Mamia ya waombolezaji wakiwemo viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na askari polisi wamejitokeza kuuaga mwili wa mke wa Naibu waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kangi Lugola, Bi Marry Lugola Jijini Dar es salaam. Bi Marry Lugola ambaye…
BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YATANGAZA MSAKO KWA WADAIWA SUGU
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imesema kuanzia Jumatatu ijayo, Januari 8, 2017 itaanza kukagua taarifa za mishahara za waajiri (payroll) ili kubaini waajiri ambao wanawasilisha kiwango kidogo cha mikopo ya wafanyakazi wao ambao ni…
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA KISHINDO MWANZA
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kulia akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Ndg:Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ccm Mkoa wa Mwanza. Mjumbe wa…
SERIKALI YATANGAZA MCHAKATO WA ZABUNI YA UNUNUZI WA VICHWA VYA TREN YA UMEME
Serikali kupitia Kampuni Hodhi ya Reli (RAHCO) imetangaza mchakato wa awali wa zabuni ya ununuzi wa vichwa na mabehewa kwa ajili ya treni ya umeme itakayotumika katika reli ya kisasa (Standard Gauge) ambayo ujenzi wake unaendelea. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa…