JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Serikali kununua mabehewa ya kisasa 1590

Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa serikali imeendelea kutekeleza mafanikio na miradi mbalimbali mikubwa Kitaifa. Akizungumza na wanahanari leo, Dkt. Abbas amesema kuwa pamoja na hayo yote miradi ikiwa…

Serikali Yawatoa Hofu Wananchi Kuhusu Tatizo la Umeme

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abass. Serikali imewatoa hofu Watanzania kuhusu tatizo la umeme na utekelezaji wa mradi wa treni ya umeme nchini ambao ujenzi wake unaendelea. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo…

NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Pili, Darala la Nne

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8, Katibu…

Rais Magufuli Aanika Madudu Zaidi Wizara ya Madini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanika madudu mengine ya Wizara ya Madini akisema kuwa baadhi ya wateule wake katika wizara hiyo wamekuwa wazembe katika kutekeleza maagizo na kutimiza majukumu yao kama watendaji wa serikali….

Rais Magufuli Amuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es…

WAZIRI MKUU AWAONYA DC NA DED NYASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Bi. Isabella Chilumba na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dk. Oscar Mbyuzi waache malumbano ambayo yanawavuruga watendaji walio chini yao. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Januari 6, 2018) wakati akizungumza na…