Category: Kitaifa
BAVICHA:TUTAZUNGUKA NCHI NZIMA KUDAI UHURU WA KUJIELEZA
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limedhamiria kuzunguka nchi nzima kuwahamasisha vijana kudai uhuru wa kujieleza ambao wamedai haupo kwa sasa nchini. Hayo yalisemwa jana kwenye mkutano wa wanafunzi wanachama wa chama hicho wa Chuo Kikuu…
WAZIRI MKUU AUVUNJA MFUKO WA KUENDELEZA KAHAWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF) na amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuchunguza mwenendo wa mfuko huo tangu ulipoanzishwa. Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Januari 14, 2018)…
RC MNYETI KUWACHUKULIA HATUA WANASIASA WACHOCHEZI
Wananchi wa Kata ya Njoro Wilayani Kiteto, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti akizungumza nao, juu ya kuwachukulia hatua kali wanasiasa wanaosababisha migogoro ya ardhi. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akizungumza kwenye Kata ya Njoro Wilayani…
NAIBU WAZIRI WA MADINI BITEKO ,AMEWATAKA WACHIMBAJI WADOGO KUZINGATIA SHERIA YA USALAMA KWENYE MAENEO YAO YA KAZI
Naibu waziri wa madini Doto Biteko,Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Buntumbili Wilayani Bukombe ambapo kulitokea tukio la mchimbaji kufukiwa na kifusi wakati alipokuwa kwenye shughuli za uchimbaji. Naibu waziri wa madini Doto Biteko,akisaini kwenye kitabu cha wageni wakati alipokuwa…