JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

NECTA Yatoa Maagizo kwa Watahiniwa Binafsi wa QT na Kidato cha Nne

Katibu Mtendaji, Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwajulisha watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) mwezi novemba, 2018 kama watahiniwa wa kujitegemea kwamba: Kipindi cha usajili kwa watahiniwa wa kujitegemea kimeanza tarehe 1…

Mandhari ya Hospitali Anapotibiwa Tundu Lissu

Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, nchini Ubelgiji ambako Mbunge Tundu Lissu anaendelea na awamu ya tatu ya matibabu yake, baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma. Leuven ni moja ya hospitali mashuhuri barani Ulaya. Ilianzishwa mwaka 1080 na kuanza…

PAUL KAGEME KUWASILI NCHINI JUMAPILI, MAKONDA ANENA JAMBO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda amefunguka na kusema uwezo mkubwa wa Rais Magufuli na Demokrasia ya kweli ni jambo ambalo linawavutia wageni kuja Tanzania akiwepo Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame anayetarajiwa kuwasili nchini Jumapili….

WAZIRI JAFO: WATAALAMU WA MAJI ZAIDI YA ELFU NNE WANAHITAJIKA TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Selemani Jafo(Katikati) akiwasili kwenye Chuo cha Maji tayari kwa kutunuku Shahada na Stashahada katika mahafali ya Tisa ya Chuo hicho. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais…

DKT. NDUGULILE AING’ARISHA PROGRAMU YA KIKUNDI MLEZI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKOANI KATAVI

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) akiangalia moja ya bidhaa ya mvinyo inayotengenezwa na Kikundi cha Wanawake wajasiriamali cha Humbaji kilichopo katika Manispaa ya Mpanda alipofanya ziara ya siku mbili…

UGIRIKI YAKAMATA MELI ILIYOKUWA NA BENDERA YA TANZANIA

Mamlaka nchini Ugiriki imeeleza kuwa, imekamata meli iliyokuwa na bendera ya Tanzania iliyokuwa safarini kuelekea ncuni libwa ikiwa imebeba vifaa vinavyotumika kutengenezea vilipuzi. Meli hiyo iligundulika wakati ikiwa jirani na Kisiwa cha Crete siku ya Jumamosi. Mamlaka hiyo imekuta makontena…