Category: Kitaifa
Halotel Tanzania yakabidhi gari jipya la promosheni ya 7bang bang
Kampuni ya Mawasiliano nchini ya Halotel Tanzania PLC imekabidhi zawadi kwa mshindi mkuu aliyejishindia gari aina ya IST Mpya wa draw kubwa ya mwisho ya promosheni ya wateja iliyokuwa na jina la 7bang bang. Promosheni hiyo ya “7 bang bang”…
Rais ateua wajumbe wa Tume ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu…
Kauli ya rais yawaleta wanasiasa kutoa ya moyoni
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kutangaza rasmi kuruhusu kuanza kufanyika kwa mikutano ya vyama vya siasa nchini kuanzia leo ni cha kufufua…
Rais Samia amedhamiria kutatua kero za wanasiasa
Doyo Hassan Doyo ambaye ni katibu Mkuu wa Chama cha ‘Alliance For the Democratic Change’ (ADC), amesema kitendo cha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuitisha mkutano na vyama vya siasa kinapaswa kupongezwa kwa kuwa kinaimarisha afya katika siasa za hapa nchini….
Rais Samia:Tuutazame Mwaka Mpya kwa matumaini makubwa mbele yetu
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA – TAREHE 31 DESEMBA 2022 Ndugu Wananchi na Watanzania wenzangu; NAWASALIMU KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA! Nianze kwa…