JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Kingunge Arudishwa Tena Muhimbili Baada ya Mazishi ya Mke Wake

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amerejeshwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuendelea na matibabu. Mzee Kingunge aliruhusiwa kutoka hospitalini hapo Januari 10 ili kwenda kushiriki mazishi ya mkewe, Peras Ngombare Mwiru yaliyofanyika Alhamisi katika makaburi ya…

WAKILI MSOMI PETER KIBATALA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI

Peter Kibatala ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA) amefiwa na mama yake mzazi Bi. Anna Mayunga ambaye amefariki jana.  

SHEREHE YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI ZANZIBAR YAFANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Mzee Ally Hassan Mwinyi.  Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (mwenye miwani), Waziri Mkuu, Kassim majaliwa na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo.  …

Igp Simon Sirro, Azungumza na Askari wa Vikosi vya Mjini Magharibi

  Mkuu wa Jeshi la Polisi Igp Simon Sirro, akizungumza na Askari wa Vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja jana alipokwenda kufanya mazungumzo ya kikazi na Maofisa na Askari Visiwani Unguja. Igp Sirro aliwataka Askari Visiwani humo…

BAVICHA: WANAOJIUNGA NA CCM HAWANA FIKRA ZA KUSAIDIA TAIFA

BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema wimbi la kuhama kwa viongozi na wanachama wa chama hicho, unakipa nafasi ya kujirekebisha na kujipanga vizuri ikiwamo kubaki na wanaofuata misingi ya chama. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu…

RAIS SHEIN AWATUNUKIA NISHANI WATU 74 ZANZIBAR

      RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74. Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar ambayo imehudhuriwa na…