JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

WAZIRI TIZEBA AKAGUA USAFIRISHAJI WA KOROSHO MTWARA

Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba ametembelea Bandari ya Mkoa wa Mtwara na kukagua Usafirishaji wa Zao la Korosho Ghafi zinazokwenda Nchi za India na Vietnam. Kufikia January10 mwaka huu Jumla ya Tani Laki 190 za Korosho tayari zimesafirishwa ambapo lengo…

LISSU AANZA MAZOEZI UBELGIJI

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo ameanza kufanya mazoezi ya viungo huko Hospital anapotibiwa  inchini Ubelgiji

Hiki Hapa Lowassa Alichozungumza Ikulu na Maguful

Hichi ndicho Lowassa alichozungumza na Rais Magufuli alipokwenda Ikulu Januari 9 mwaka huu 2018

SONGWE: HATUTAKAA KMYA KUONA MTU SIO RAIA WA TANZANIA KUPATA KITAMBULISHO CHA URAIA

Wananchi wa Kata ya Itaka Kijiji cha Itaka wengi wao wakiwa ni akina Mama, wakijificha Mvua nje ya moja ya Kituo cha Usajili wakati wakishiriki zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa linaloendelea kwenye Kata hiyo     Afisa Usajili Mamlaka…

TBA YATAKIWA KUHAKIKISHA MAENEO YAO YANA HATI

  Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa wa Mtwara Edward Mwangasa, wakati alipokuwa akikagua nyumba zinazomilikiwa na Wakala huo, mkoani humo. Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo (TBA), mkoa…

SERIAKLI YATOA NENO JUU YA KAULI YA TRUMP

Viongozi mbalimbali wa bara la Afrika na Umoja wa Mataifa wamekemea vikali kauli iliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu mataifa ya Afrika, Haiti na El Salvador alipokuwa katika kikao na wabunge wa nchi hiyo kilichofanyika White House. Katika…